Free Mp3 Downloads

TP MAZEMBE Walikataa BASI LA SIMBA Airport Dar

TP MAZEMBE Walikataa BASI LA SIMBA Airport Dar #1
TP MAZEMBE Walikataa BASI LA SIMBA Airport Dar #2 TP MAZEMBE Walikataa BASI LA SIMBA Airport Dar #2 TP MAZEMBE Walikataa BASI LA SIMBA Airport Dar #4

Download TP MAZEMBE Walikataa BASI LA SIMBA Airport Dar

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Kikosi cha TP Mazembe kimewasili jijini Dar es Salaam saa 12:30 jioni Aprili 3, 2019 kikitokea Mbeya na kulikataa basi lililoandaliwa na wenyeji wao Simba katika kuhofia hujuma kabla ya mchezo wao wa Jumamosi wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Simba.

Mazembe mabingwa mara tano wa Ligi ya Mabingwa, ilianza safari yake kutokea Lubumbashi leo asubuhi wakiwa na ndege binafsi ya mmiliki wao Moses Katumbi na kutua uwanja wa Ndege wa Songwe, Mbeya. #TPMAZEMBE

TP Mazembe kwa siku tatu watakazokuwa Dar es Salaam wamefikia katika hoteli ya Serena.

Iko wazi kuwa wachezaji wa TP Mazembe hawatapanda basi maalumu lililoandaliwa na Simba na badala yake watabebwa kwenye basi ndogo kutoka hoteli ya Serena.

Msafara huo wa wachezaji, benchi la ufundi pamoja na viongozi kwa ajili ya mchezo wao na Simba.

Waandaaji wa msafara huo hapa Dar es Salaam wana wasiwasi na usafiri huo na hivyo wakafanya mchakato wa kutafuta basi hilo dogo.

"Basi hili kubwa na hayo mengine waliyotuandalia Simba watapanda viongozi na benchi la ufundi, wachezaji hawatapanda humo, "alisema Patrick Kasangala.

Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars

Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars

Twitter: https://twitter.com/kidanistars

Download Here:

FAST DOWNLOAD DOWNLOAD SERVER 2

Disclaimer:

This content may be protected by copyright law or other laws regarding intellectual property of the United States or other countries.
Downloading TP MAZEMBE Walikataa BASI LA SIMBA Airport Dar mp3 on this site is just for review purpose. If you love the song, please support the artists by buying the original CD/Cassette or buying the song from iTunes.

Watch video on Youtube: TP MAZEMBE Walikataa BASI LA SIMBA Airport Dar
Search another results: TP MAZEMBE Walikataa BASI LA SIMBA Airport Dar


Tags: Simba, Tp Mazembe, Basi La Simba, Magoli Ya Simba, Tresor Mputu, Kikosi Cha Tp Mazembe, Kagere, Okwi, Chama, Bocco, tshabalala, Mkude, kotei, Haji Manara, Mo dewji